Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

WAHUISHA NDOA

Katika mkutano wa Wachungaji uliofanyika mjini Singida nchini Tanzania uliojumuisha Union zote mbili yaani ile ya Kaskazini na ya Kusini, Wachungaji na wake zao walipata fursa ya kuhuisha ndoa zao kwa kulishana viapo kama inavyoonekana katika baadhi ya picha hapo chini. MUNGU ABARIKI NDOA ZAO.