Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

SHEREHE ZA UTUME

Sherehe za Utume zilizoanza tarehe 18/09/2019 zilihitimishwa siku ya Sabato, tarehe 21/09/2019 kwenye uwanja wa Jamhuri - jijini Morogoro. Siku hiyo ulishuhudiwa umati mkubwa wa watu idadi inayodhaniwa kuongezeka zaidi ya mara tatu ya mahudhurio ya kila siku. Hapa ni picha kadhaa za waliohudhuria sherehe hizo zinazofanyika kila baada ya miaka mitano.