Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

HomeVita Kuu
Imani na Matendo
Njia Salama
Mwito Wetu Mkuu

Mpendwa mgeni uliyetembelea tovuti hii, karibu sana ujionee na kujipatia maarifa yatakayokuimarisha kiroho, kiakili, kimwili, na kijamii. Tovuti hii itakukutanisha na Rafiki yako Kipenzi Yesu Kristo aliyetoa maisha yake kwa ajili yako. Yeye anakupenda na sasa yupo mbinguni akikuandalia makao na akisha kukuandalia, atakuja tena ili akukaribishe kwake. Tovuti hii inaendeshwa na mtumishi wa Bwana, Mchungaji Stephen Letta ambaye kwa sasa ni Mchungaji wa Mtaa wa Tegeta - jijini Dar es Salaam katika Konferensi ya Mashariki na Kati ya Union Mission ya Kusini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista wa Sabato. Tovuti hii itakuhabarisha, itakuburudisha na kukuelimisha kwa lengo la kukupa fursa ya   kujiandaa Kurudi Nyumbani Kwetu Mbinguni. Karibu sana na Mungu akubariki!