Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

NDOA YA MUMBARA

HATIMAYE MUMBARA AMEAMUA:

Jana Jumapili 28/09/2020, ilihitimisha safari ya useja ya Mchungaji Mumbara Peter Mumbara alipofunga pingu za maisha na Dada Paschalina Akonaay Bura kwenye Kanisa la Waadventista wa Sabato Ukonga. Ndiyo hiyo ilifungwa na Mchungaji Joseph Mngwabi - Askofu wa Jimbo la ECT akisaidiwa na Mchungaji Steven Ngussa - Askofu wa jimbo la SEC. Mungu akawe kiongozi wa maisha yao mapya ya ndoa.