Tarehe 08 Disemba 2019, ilishuhudia Investure kubwa ya kihistoria iliyofanyika katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Ukonga iliyosimamiwa na Wakurugenzi wa Idara ya Vijana wa ngazi za Konferensi Kuu, Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati, Union ya Kusini mwa Tanzania, na Konferensi za SEC na ECT.
Idadi ya waliotunukiwa vyeti vya kufuzu na kuvikwa tuzo mbalimbali na Konferensi wanazotokea ni kama ifuatavyo:- (1) PLA kutoka SEC 10, (2) Master Guides ECT 60, (3) Master Guides SEC 15, (4) Senior Youth Leader (SYL) SEC 35, (5) Senior Youth Leader (SYL) ECT 63, (6) Silver Award SEC 11, (7) Silver Award ECT 105.