Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

NDEMBELA MPYA

Shule ya Sekondari ya Ndembela inaendelea kuzaliwa upya baada ya kurejeshwa kwenye umiliki wa Kanisa la Waadventista wa Sabato kwa agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mheshimiwa John Pombe Magufuli. Hivi ndivyo inavyoonekana wakati nilipoitembelea hivi karibuni.