Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

KALENDA YA MATUKIO GC 2021

SIKU NA MATUKIO MAALUMU YA MSISITIZO

WANAWEZA KUWA WANAISHI NA KUABUDU KATIKA MAENEO YENYE TOFAUTI KUBWA YA UMBALI NA LAKINI WAADVENTISTA WA SABATO KOTE ULIMWENGUNI SIYO TU JUMUIYA YA KIIMANI – BALI NI FAMILIA

Lakini kuwa na hisia za umoja wakati fulani yaweza kuwa vigumu. Namna moja Waadventista wawezayo kuitumia kukuza jamii katika nyakati zote ni kusherehekea siku na matukio maalum pamoja. Kalenda ya Matukio ya Kanisa la Waadventista wa Sabato haiimarishi tu umoja, bali pia inasaidia kuleta uelewa wa pamoja wa mambo mambo fulani maalum kama kuzuia unyanyasaji, uhuru wa familia na uhuru wa dini.

Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato wanakualika wewe na kanisa lako, kusherehekea siku na matukio haya.

2021

JANUARY 2021


FEBRUARY 2021


MARCH 2021


APRIL 2021


MAY 2021


JUNE 2021


JULY 2021


AUGUST 2021


SEPTEMBER 2021


OCTOBER 2021


NOVEMBER 2021


DECEMBER 2021