Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

KALENDA YA MATUKIO ECT 2020

KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KONFERENSI YA MASHARIKI-KATI MWA TANZANIA KALENDA YA MATUKIO KWA MWAKA 2020

MWEZI

TAREHE

SIKU

TUKIO

MAHALI

 

 

 

JANUARI

 

 

 

 

04

Jumamosi

Siku ya Kufunga na Kuomba

Kila Kanisa

08 – 18

J'tano-J'mosi

Siku Kumi za Maombi

Kila Kanisa

24 – 28

Ijum – J’nne

Kongresi ya Huduma za W/ke na Watoto

Kampala, Uganda

 

 

 

 

 

FEBRUARI

08 – 15

J’mosi – J’mosi

Juma la Ndoa na Familia ya Kikristo

Kila Kanisa

15 – 22

J'mosi – J’mosi

Juma la msisitizo wa uwakili

Kila Kanisa

17 – 07 Machi

J'tatu – J’mosi

MUNGU KWANZA, Chato 2020 Net Event

Chato, Geita

 

 

 

 

 

 

 

MACHI

07

Jumamosi

Siku ya Maombi ya Wanawake

Kila Kanisa

14

Jumamosi

Radio ya Waadventista Ulimwenguni

Kila Kanisa

21

Jumamosi

Siku ya Watoto Duniani

Kila Kanisa

21

Jumamosi

Siku ya Vijana Duniani

Kila Kanisa

21 – 28

J'mosi – J’mosi

Juma la Maombi la Vijana

Kila Kanisa

 

 

 

 

 

 

 

APRILI

04

Jumamosi

Siku ya Kufunga na Kuomba

Kila Kanisa

04

Jumamosi

Sabato ya “kila mtoto kuhudhuria shule”

Kila Kanisa

18

Jumamosi

Sadaka Maalumu ya Ujenzi wa Chuo cha WV

Kila Kanisa

25

Jumamosi

Sabato ya AMR

Kila Kanisa

 

 

 

 

 

MEI

02 – 09

J'mosi – J'mosi

Juma la Maombi la Uwakili

Kila Kanisa

23

Jumamosi

Siku ya Maombi kwa Watoto Walio Katika Mazingira Magumu

Kila Kanisa

01 - 31

Ijumaa – J’pili

Huduma za Uchapishaji na TMI

Divisheni yote

 

 

 

JUNI

06 – 13

J'mosi – J’mosi

Juma Kuu la Wainjilisti wa Vitabu

Unioni yote

13

Jumamosi

Siku ya Msisitizo ya Huduma za Wanawake

Kila Kanisa

20

Jumamosi

Kuufikia Ulimwengu: Utunzaji wa Washiriki na Urejeshaji

Kila Kanisa

22 -24

J’tatu – J’tano

Mkutano wa Chaplensia wa Kanisa Ulimwenguni

Indianapolis, USA

25 – 04 Jul.

A’misi – J’mosi

Mkutano Mkuu wa Kanisa Ulimwenguni (GC)

Indianapolis, USA

JULAI

04

Jumamosi

Siku ya Kufunga na Kuomba

Kila Kanisa

25

Jumamosi

Sabato ya Watoto

Kila Kanisa


 

 

 

 

 

AGOSTI

01

Jumamosi

Uinjilisti wa Maeneo Mapya

Kila kanisa

08

Jumamosi

Uambie Ulimwengu: Kupanda Makanisa

Kila Kanisa

15

Jumamosi

Siku ya Elimu

Kila Kanisa

22

Jumamosi

Siku ya Huduma za Wanawake

Kila Kanisa

22

Jumamosi

Uinjilisti wa Washiriki

Kila kanisa

 

 

 

 

 

 

 

SEPTEMBA

06 – 12

J’pili – J’mosi

Juma la Huduma za Familia

Kila Kanisa

12

Jumamosi

Sabato ya Kukuzia ‘Hope Channel’

Kila Kanisa

19

Jumamosi

Siku ya Watafuta Njia

Kila Kanisa

26

Jumamosi

Sabato ya Wageni

Kila Kanisa

 

 

 

 

 

 

 

OKTOBA

03

Jumamosi

Siku ya Kufunga na Kuomba

Kila Kanisa

10

Jumamosi

Siku ya Kutambua Huduma ya Mchungaji

 

17

Jumamosi

Siku ya Roho ya Unabii

Kila Kanisa

24

Jumamosi

Sabato ya Uumbaji

Kila Kanisa

 

 

 

 

 

 

 

NOVEMBA

7 – 14

J’mosi – J’mosi

Juma la Maombi

Kila Kanisa

14 – 20

J’mosi – Ijumaa

Juma la Maombi Kwa Ajili ya Vijana

Kila Kanisa

21 – 28

J’mosi – J’mosi

Juma la Maombi la Uwakili

Kila Kanisa

28

Jumamosi

Ufahamu Juu ya UKIMWI

Kila Kanisa

 

 

 

 

 

DESEMBA

12

Jumamosi

Msisitizo wa Afya

Kila Kanisa