Seventh-day Adventist® Church

PASTOR LETTA'S OFFICIAL WEBSITE

Menu

Home




Vita Kuu
KATIBA YA NCHI
UTATU WA KIMBINGU
ADVENTIST DOCTRINES
Mpendwa mgeni uliyetembelea tovuti hii, karibu sana ujionee na kujipatia maarifa yatakayokuimarisha kiroho, kiakili, kimwili, na kijamii. Tovuti hii itakukutanisha na Rafiki yako Kipenzi Yesu Kristo aliyetoa maisha yake kwa ajili yako. Yeye anakupenda na sasa yupo mbinguni akikuandalia makao na akisha kukuandalia, atakuja tena ili akukaribishe kwake. Tovuti hii inaendeshwa na mtumishi wa Bwana, Mchungaji Stephen Letta ambaye kwa sasa ni Mchungaji wa Mtaa wa Mlandizi, Wilaya ya Kibaha - Mkoa wa Pwani katika Konferensi ya Mashariki Kati mwa Tanzania, katika Union Mission ya Kusini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista wa Sabato. Tovuti hii itakuhabarisha, itakuburudisha na kukuelimisha kwa nia ya kuboresha maisha yako na kukupa fursa ya   kujiandaa Kurudi Nyumbani Kwetu Mbinguni. Karibu sana na Mungu akubariki!